In Prison (Kizuizini)
Nikiwa na njaa na matambara mwilini nimehudumika kama hayawani Kupigwa na kutukanwa kimya kama kupita kwa shetani. Nafasi ya kupumzika hakuna ya kulala hakuna ya kuwaza hakuna. Basi kwani hili kufanyika. Ni kosa gani lilotendeka Liloniletea adhabu hii isomalizika? Ewe mwewe urukae juu mbinguni wajua lililomo mwangu moyoni. Niambie: pale […]