In Prison (Kifungoni)
Kwa kuangulia juu mbinguni na kulia sana kwa matumaini samawati imeingia mwangu machoni. Kwa kuota mahindi mashambani na kulia sana kwa mahuzuni manjano imeingia mwangu machoni. Waache majemadari waende vitani Wapenzi waende bustanini Na waalimu mwao darasani, Ama mimi, tasubihi nipeni Na kiti cha kale, za zamani Niwe vivi nilivyo […]